Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Hiyo aya yako ya pili imenifurahisha sana. Wanawake wote wangekuwa kama wewe tungepunguza sana talaka. Ai adimaya yu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ahahhaahha Shimba, utaacha wangapi, halaf baby wangu bonge la handsome na ana tabia nzuri ana roho nzuri,, sio bahili (wanaume wengi mabahili kweli) kweli namuacha naenda wapi, nikimkuta anatomba namkiss nampa Pole namfuta jasho tunaenda nyumbani namuogesha nampa game ya pili bafuni kisha tunalala, haachwi mtu
 
 
Maandishi murua sana haya we mwanamke.

Kuna wanaume Duniani wana bahati sana yaani unapata mwanamke wa aina ya Dinazarde then Maisha yanataka nini tena hapo? G is super lucky. Yaani ungekuwa wangu kwa hii love vibe yako...I would responds by giving you some gud gud loving yaani.

Nakumbuka napataga mademu majambazi tu yanakula mkopo wangu wa Saccos na kuniachia manyoya...! [emoji23] [emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningetamani wanawake wote wawe kama wewe aisee. Nikuhongereshe tu kwa kupata mume aliyekamilika kila idara. Bila shaka anajua kuwa kapata mwanamke wa kipekee sana. Kaweni na ndoa yenye furaha na iliyojaa mibaraka tele [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Humble umeanza kuniua mbavu eti unakutanaga na majambazi hiyo humtokea kila mtu anakutana na majambazi hata mi nishagakutana nayo Sana tu, ukibahatisha Kama hivi umepata mwanaume ana genes za umalaika Hakuna kumuacha aisee maana ni wachache hii dunia, Acha tu nampenda mno
 
Aaawww [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana aiseeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…