Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Hiyo aya yako ya pili imenifurahisha sana. Wanawake wote wangekuwa kama wewe tungepunguza sana talaka. Ai adimaya yu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ahahhaahha Shimba, utaacha wangapi, halaf baby wangu bonge la handsome na ana tabia nzuri ana roho nzuri,, sio bahili (wanaume wengi mabahili kweli) kweli namuacha naenda wapi, nikimkuta anatomba namkiss nampa Pole namfuta jasho tunaenda nyumbani namuogesha nampa game ya pili bafuni kisha tunalala, haachwi mtu
 
Ahahhaahha Shimba, utaacha wangapi, halaf baby wangu bonge la handsome na ana tabia nzuri ana roho nzuri,, sio bahili (wanaume wengi mabahili kweli) kweli namuacha naenda wapi, nikimkuta anatomba namkiss mama Pole namfuta jasho tunaenda nyumbani namuogesha nampa game ya pili bafuni kisha tunalala, haachwi mtu
 
Nilitamani kupata mwanaume anaevutia atakaenivutia, atakaenidekeza, atakenibembeleza, atakaenipa mahaba na kunisahaulisha yaliyopita, furaha Unayonipa ni zaidi ya kila kitu kwangu,nikitembea Naringa navimba kwa furaha, Ukinishika mkono na kiuno na kunivutia kifuani kwako nahisi Kama tupo dunia ya peke yetu,Tabasamu lako sauti yako nzito yenye mikwaruzo nikiisikia tu nahisi usingizi wa Raha ,una hofu ya Mungu, unajali kwenye furaha na huzuni, nimeamini mapenzi hutua popote pale, na unachokiomba kwa Mungu ndicho anachokupa, ambao bado mnahangaika na makurumbembe poleni msichoke kuomba

nakuahidi kukupenda mpaka kufa kwangu, we ni nuru ya Moyo wangu, nakupenda Mme wangu ,G wangu mimi sijui ulikuwaga wapi toka zamani Nakasirika nikifikiria hivi utamu unaonipa nahisi nimechelewa kuupata, sikuachi hata nikute unatomba nakuchukua nakuambia Pole G wangu naenda kukuogesha nakubembeleza ulale nakupa na game zito, Hakuna kuachika
Maandishi murua sana haya we mwanamke.

Kuna wanaume Duniani wana bahati sana yaani unapata mwanamke wa aina ya Dinazarde then Maisha yanataka nini tena hapo? G is super lucky. Yaani ungekuwa wangu kwa hii love vibe yako...I would responds by giving you some gud gud loving yaani.

Nakumbuka napataga mademu majambazi tu yanakula mkopo wangu wa Saccos na kuniachia manyoya...! [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahhaahha Shimba, utaacha wangapi, halaf baby wangu bonge la handsome na ana tabia nzuri ana roho nzuri,, sio bahili (wanaume wengi mabahili kweli) kweli namuacha naenda wapi, nikimkuta anatomba namkiss nampa Pole namfuta jasho tunaenda nyumbani namuogesha nampa game ya pili bafuni kisha tunalala, haachwi mtu
Ningetamani wanawake wote wawe kama wewe aisee. Nikuhongereshe tu kwa kupata mume aliyekamilika kila idara. Bila shaka anajua kuwa kapata mwanamke wa kipekee sana. Kaweni na ndoa yenye furaha na iliyojaa mibaraka tele [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Maandishi murua sana haya we mwanamke.

Kuna wanaume Duniani wana bahati sana yaani unapata mwanamke wa aina ya Dinazarde then Maisha yanataka nini tena hapo? G is super lucky. Yaani ungekuwa wangu kwa hii love vibe yako...I would give you some gud gud loving yaani.

Nakumbuka napataga mademu majambazi tu yanakula mkopo wangu wa Saccos na kuniachia manyoya...! [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Humble umeanza kuniua mbavu eti unakutanaga na majambazi hiyo humtokea kila mtu anakutana na majambazi hata mi nishagakutana nayo Sana tu, ukibahatisha Kama hivi umepata mwanaume ana genes za umalaika Hakuna kumuacha aisee maana ni wachache hii dunia, Acha tu nampenda mno
 
Nilitamani kupata mwanaume anaevutia atakaenivutia, atakaenidekeza, atakenibembeleza, atakaenipa mahaba na kunisahaulisha yaliyopita, furaha Unayonipa ni zaidi ya kila kitu kwangu,nikitembea Naringa navimba kwa furaha, Ukinishika mkono na kiuno na kunivutia kifuani kwako nahisi Kama tupo dunia ya peke yetu,Tabasamu lako sauti yako nzito yenye mikwaruzo nikiisikia tu nahisi usingizi wa Raha ,una hofu ya Mungu, unajali kwenye furaha na huzuni, nimeamini mapenzi hutua popote pale, na unachokiomba kwa Mungu ndicho anachokupa, ambao bado mnahangaika na makurumbembe poleni msichoke kuomba

nakuahidi kukupenda mpaka kufa kwangu, we ni nuru ya Moyo wangu, nakupenda Mme wangu ,G wangu mimi sijui ulikuwaga wapi toka zamani Nakasirika nikifikiria hivi utamu unaonipa nahisi nimechelewa kuupata, sikuachi hata nikute unatomba nakuchukua nakuambia Pole G wangu naenda kukuogesha nakubembeleza ulale nakupa na game zito, Hakuna kuachika
Aaawww [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandishi murua sana haya we mwanamke.

Kuna wanaume Duniani wana bahati sana yaani unapata mwanamke wa aina ya Dinazarde then Maisha yanataka nini tena hapo? G is super lucky. Yaani ungekuwa wangu kwa hii love vibe yako...I would responds by giving you some gud gud loving yaani.

Nakumbuka napataga mademu majambazi tu yanakula mkopo wangu wa Saccos na kuniachia manyoya...! [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana aiseeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom