[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu! Nitangulize tu furaha yangu kukusoma hapa.Mkuu kwema, bi mkubwa naye mzima maana kitambo kweli...
Hivi dah hii mambo ya kutapeliana sijui imetokea wapi, maana hivi ingekuwa ni tamaa watu si tungepiga sana mpunga enzi za "miss JF"...
Enzi za leo tuko hapa...Mkuu kwema, bi mkubwa naye mzima maana kitambo kweli...
Hivi dah hii mambo ya kutapeliana sijui imetokea wapi, maana hivi ingekuwa ni tamaa watu si tungepiga sana mpunga enzi za "miss JF"...
Naomba uwe assist wanguAssist[emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hahaaaa. Yaani kila nikiona neno assist nakukumbuka aisee.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uwiiiiiiii nimecheka hatariiii.
Khaaaaa.
[emoji1] [emoji1] jemedari mkuu wa ukaguzi.Enzi za leo tuko hapa...
Hakyamama assist haijawahi kumwacha mtu salama
babe....nami naomba assist jamani...[emoji85] [emoji18]Enzi za leo tuko hapa...
Hakyamama assist haijawahi kumwacha mtu salama
Sikujua yule sio straika. Sasa ukimuassist beki unaweza kujikuta timu yako inafungwa[emoji1] [emoji1] jemedari mkuu wa ukaguzi.
Zile assist kwa ladyfurahia zilizaa matunda...