kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
- Thread starter
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu! Nitangulize tu furaha yangu kukusoma hapa.Mkuu kwema, bi mkubwa naye mzima maana kitambo kweli...
Hivi dah hii mambo ya kutapeliana sijui imetokea wapi, maana hivi ingekuwa ni tamaa watu si tungepiga sana mpunga enzi za "miss JF"...
Umepotelea wapi aisee...
Enzi zile [emoji1] [emoji1] [emoji1] sio siri nimekumbuka mazuri na upatano uliokuwako.
shansarie ni mzima wa afya, tunapambana.