Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

Mkuu kwema, bi mkubwa naye mzima maana kitambo kweli...

Hivi dah hii mambo ya kutapeliana sijui imetokea wapi, maana hivi ingekuwa ni tamaa watu si tungepiga sana mpunga enzi za "miss JF"...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu! Nitangulize tu furaha yangu kukusoma hapa.
Umepotelea wapi aisee...

Enzi zile [emoji1] [emoji1] [emoji1] sio siri nimekumbuka mazuri na upatano uliokuwako.
shansarie ni mzima wa afya, tunapambana.
 
Mimi naomba assist ya kupata kazi. Nina degree moja. Na uzoefu wa kazi miaka 3.
Kazi yoyote nitafanya ikipatikana.
Details zaidi nitakupatia ukijitolea kuniassist.
Karibu mkuu.
 
Back
Top Bottom