Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa si nimetoa njia mkuu? mbona hata hiyo ni assist?
Assist zingine makini saana ni kama za iniesta wakisaidiana na Xabi kwa messi... hapo lazima bao lizaliwe
 
Mkuu kwema, bi mkubwa naye mzima maana kitambo kweli...

Hivi dah hii mambo ya kutapeliana sijui imetokea wapi, maana hivi ingekuwa ni tamaa watu si tungepiga sana mpunga enzi za "miss JF"...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenikumbusha mbali aisee. Ndo kipindi pekee ambacho nilipataga PM.
 
Mimi naomba assist ya kupata kazi. Nina degree moja. Na uzoefu wa kazi miaka 3.
Kazi yoyote nitafanya ikipatikana.
Details zaidi nitakupatia ukijitolea kuniassist.
Una uzoefu wa kaz gani sasa
 
Mshana Jr...The Bold....naombeni mnipe assist kumpata Mahoundaw...

Kidogo nyie wakongwe humu...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenikumbusha mbali aisee. Ndo kipindi pekee ambacho nilipataga PM.
umeona eeh! zilikuwa zinapigwa kampeni mbaya kabisa...
juzi kuna mtu alinijibu pm niliyomtumia kipindi cha kampeni [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom