Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Assist zingine makini saana ni kama za iniesta wakisaidiana na Xabi kwa messi... hapo lazima bao lizaliwe[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa si nimetoa njia mkuu? mbona hata hiyo ni assist?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Assist zingine makini saana ni kama za iniesta wakisaidiana na Xabi kwa messi... hapo lazima bao lizaliwe[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa si nimetoa njia mkuu? mbona hata hiyo ni assist?
Unataka assist ya nini baby?babe....nami naomba assist jamani...[emoji85] [emoji18]
typing error[emoji654] babe--babu!!
Hii assist ya public siwezi kukunyima assist mkuu.mambo vipi bibie? jina lako liko kwenye list yangu
Embu nipasie bhasAssist[emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu kwema, bi mkubwa naye mzima maana kitambo kweli...
Hivi dah hii mambo ya kutapeliana sijui imetokea wapi, maana hivi ingekuwa ni tamaa watu si tungepiga sana mpunga enzi za "miss JF"...
Jana wakati napata dinner nilikumbuka 'Assist' nikacheka hadi nikapaliwa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Yaani kila nikiona neno assist nakukumbuka aisee.
Hatari sana. [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo sasa...Sikujua yule sio straika. Sasa ukimuassist beki unaweza kujikuta timu yako inafungwa
Una uzoefu wa kaz gani sasaMimi naomba assist ya kupata kazi. Nina degree moja. Na uzoefu wa kazi miaka 3.
Kazi yoyote nitafanya ikipatikana.
Details zaidi nitakupatia ukijitolea kuniassist.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Msamiati mpya umeongezwa kwenye kamusi ya JF
""Assist ""
umeona eeh! zilikuwa zinapigwa kampeni mbaya kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha mbali aisee. Ndo kipindi pekee ambacho nilipataga PM.
Wale naona badala ya kuassist wameamua kufunga wenyewe. Wachoyo kama Cristiano Ronaldo[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo sasa...
hivi wale ma assist wengine wako wapi aisee...
Nicas Mtei
mwekundu
Ww unataka assist ya vidasa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mshana Jr...The Bold....naombeni mnipe assist kumpata Mahoundaw...
Kidogo nyie wakongwe humu...[emoji125] [emoji125] [emoji125]