Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Natamani sana kuendesha magari makubwa (semitrera) Naomba mwenye connection tafadhari hata kama ni kwa malipo

Natanguliza shukran
Mkuu nakushauli kma una leseni hiyo ya kuendesha magari makubwa fanya hivi .kuna nchi inaitwa Qatar mwakani kuna kombe la dunia sasa ukipata connection ya kuendesha magari kule utapa pesa sana maana wana lipa vizuri sana kuanzia milion 2 za kitanzania. Fanya mchakato ufike huko.
 
Salaaams wakuu.

Natafuta connection ya kuagiza bidhaaa kama mapazia, mashuka (100% cotton), duvet, wardobes n.k kutoka china au thailand.

Natanguliza shukran
Mkuu mimi mkewangu anafanya hiyo biashara ya mashuka mapazia na duvet kama utakuwa na uwitaji. Niambie. Zipo za Thailand China na German.
 
Ningepata ufafanuzi wa hili mkuu nani ana connection ya Qatar?
 
Subiri kidogo nitakutafuta.
 
Kuna ist mpya ipo bandari mtu kaagiza kashindwa kuikomboa
Yeye anahitaji m5 tu alioagizia kutoka Japan
Namba zake ni 0736770052
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…