boniphace ratego
Member
- Jun 20, 2019
- 73
- 78
Mkuu nakushauli kma una leseni hiyo ya kuendesha magari makubwa fanya hivi .kuna nchi inaitwa Qatar mwakani kuna kombe la dunia sasa ukipata connection ya kuendesha magari kule utapa pesa sana maana wana lipa vizuri sana kuanzia milion 2 za kitanzania. Fanya mchakato ufike huko.Natamani sana kuendesha magari makubwa (semitrera) Naomba mwenye connection tafadhari hata kama ni kwa malipo
Natanguliza shukran