Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Biashara ya nini mkuu???[emoji15][emoji15]
Mboo za ng'ombe mkuu. Huku dodoma nimeona mabuchani wanazikusanya sana. Naskia zinatumika kama raw materials za kutengeneza nyuzi za kushonea (operation). Advantage ya hizi nyuzi ni kwamba sio zile za kwenda kutoa kama zile nyingine, hizi zinaishia ndani ya mwili
 
HABARINI
NATAFUTA MADINI YA MANGANESE KUANZIA TANI 5 NA KUENDELEA
MWENYE NAZO TUWASILIANE..PM
 
Mayai ya kienyeji yanapatikana tray @14,500. Ni mayai kutoka Moshi.
Nafanya free delivery maeneo yote ya Dar.
Kwa mawasiliano; 0621047282.
Karibuni
 
Kwa kutumia technology mpya kabisa sasa unauwezo wa kuona tukio la WIZI lililofanyika hapo OFISINI mwako, ama NYUMBANI kwako, kwa kupitia
simu ya kiganjan mwako

Kwa huduma na maelezo zaidi usisite kutupigia Kwenye namba 0686 520 133

Au tembele link hii ya whatsup

 
Nataka wa kuniunga na wateja wa maharage meupe,njano,rozi koko nauza kwa kutoa mikoani na kuleta Dar,oda za shule za bweni pia mwenye kuhitaji na pia biashara ya dagaa wa kukaangwa ninao nafikia Sinza maeneo ya vatican simu yangu ni 0624 011463

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Wakuu anayeuza ice creamu nahitaji kwa jumla nipo dar.
 
Sio roho mbaya wazo la biashara lenyewe ni biashara huwezi pewa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…