Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mchele kg 75 bado upo wakuu, niliwaambia kg 20 nauza elfu 30,000 now imepungua ni 28,000/= na hata kg 10 unapata 15,000 tu

Note: hakutoka clear sana wakati unakoboreshwa mashineni , ila ni mzuri from Kyela. Karibuni



 
Ninatoa huduma ya massage kwa akina dada/mama. Ni mobile office unaniita popote utakapo. Either full or half Tsh 30,000 for half an hour and Tsh 50,000 one hour. I am a male.

Dar.
u mkombozi san kwa weng but kunajambo ningependa kukuongezea ka hutojali, but nadhani linatija
 
Tufanye haya ili tuepukane na ugumu wa maisha kutokana na ughali wa mafuta ya kupikia kupanda bei. unaweza kutumia mafuta ya nguruwe kupikia vyakula mbalimbali na ukaokoa gharama kubwa na ukapata mafuta mazuri pia ni mafuta yanayostahimili moto mkali wakati wa kukaangia vitu.
unaweza nunua mafuta yako kwa watu wa kutengeneza kitimoto ama kununua toka kwa wachinjaji na ukaja yaandaa mwenyewe ama ukanunua ambayo yashaandaliwa na ukaja ukayachuja na tissu na yanakuwa masafi kabisa na utayatumia vizuri pasipokuwa na shida.
Pia yanapatika kwa unafuu na sehemu nyingi tu, pia bei inaweza range kati ya 2000 mpaka 3000

KUMBUKA connection hii ni kwa wale wanaotumia mafuta haya tuu,
 
Vodacom

730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=

One Month

12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=

One Month

Vodacom

12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k

One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…