Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Weka sample na beiNatafuta wateja niwauzie perfumw bei ya jumla na rejareja kwa mikoa yote mimi nipo dsm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka sample na beiNatafuta wateja niwauzie perfumw bei ya jumla na rejareja kwa mikoa yote mimi nipo dsm
Mafuta ya nywele asili naweza pataNauza Vipodozi jumla na rejareja
Kariakoo mtaa wa Mafia/Jangwani
View attachment 2096038
View attachment 2096039
View attachment 2096040
View attachment 2096041
View attachment 2096042
View attachment 2096043
View attachment 2096044
View attachment 2096045
View attachment 2096046
Aina hizi
Karibu PM
Una kampuni gani mkuu ikiwa kuandika ni changamoto badala ya lakini unaweka,rakin nani atakuamini juu ya hili.Naitaji anayetaka kufanya biashara yaukopeshaj vibar nautaratibu upo nina kampun kabisa nafany iyo biashara rakin wateja wananizidia
Mkuu nichekiUngekuwa dodoma ningekupa
PichaMchele wa brown nahitaji mwenye nao inbox
Mkuu nicheki PM fastaaaNina uza mayai ya kuku wa kienyeji kwa dar trei ni 14.000
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
100% Full of Fat Cholesterol!Tufanye haya ili tuepukane na ugumu wa maisha kutokana na ughali wa mafuta ya kupikia kupanda bei. unaweza kutumia mafuta ya nguruwe kupikia vyakula mbalimbali na ukaokoa gharama kubwa na ukapata mafuta mazuri pia ni mafuta yanayostahimili moto mkali wakati wa kukaangia vitu.
unaweza nunua mafuta yako kwa watu wa kutengeneza kitimoto ama kununua toka kwa wachinjaji na ukaja yaandaa mwenyewe ama ukanunua ambayo yashaandaliwa na ukaja ukayachuja na tissu na yanakuwa masafi kabisa na utayatumia vizuri pasipokuwa na shida.
Pia yanapatika kwa unafuu na sehemu nyingi tu, pia bei inaweza range kati ya 2000 mpaka 3000
KUMBUKA connection hii ni kwa wale wanaotumia mafuta haya tuu,
Mkuu ni kwamba umeamua kuifunga hiyo biashara kabisa au .... eb nipe changamoto kabla cjajilipua[emoji2765] .: Habari?
[emoji2765].: Meza ya alminuam inauzwa laki moja... Ipo kimara mwisho
[emoji2765]: Meza ya plastic ya watu sita na vita vitatu vya plastic... Vyote kwa pamoja elfu 70.
[emoji2765] .: Kabati la chips lakimoja.
[emoji2765].: Jiko la mishkaki elfu 50.
Jiko la mkaa kubwa sana... Na makarai mawili ya kukaangia... Vyote kwa pamoja elfu 50.
Kwa anaye hitaji njoo PM. View attachment 2072893View attachment 2072895View attachment 2072896View attachment 2072898View attachment 2072899View attachment 2072900View attachment 2072901View attachment 2072902View attachment 2072904View attachment 2072905
Kariakoo pale unaweza kupataWadau mie nataka kifahamishwa zile simple za kike zinazotandazwa pale mwenge na kuuzwa elfu mbili mbili hadi tatu tatu mzigo hua wanachukulia mitaa ipi.
Kariakoo pale unaweza kupata