Tufanye haya ili tuepukane na ugumu wa maisha kutokana na ughali wa mafuta ya kupikia kupanda bei. unaweza kutumia mafuta ya nguruwe kupikia vyakula mbalimbali na ukaokoa gharama kubwa na ukapata mafuta mazuri pia ni mafuta yanayostahimili moto mkali wakati wa kukaangia vitu.
unaweza nunua mafuta yako kwa watu wa kutengeneza kitimoto ama kununua toka kwa wachinjaji na ukaja yaandaa mwenyewe ama ukanunua ambayo yashaandaliwa na ukaja ukayachuja na tissu na yanakuwa masafi kabisa na utayatumia vizuri pasipokuwa na shida.
Pia yanapatika kwa unafuu na sehemu nyingi tu, pia bei inaweza range kati ya 2000 mpaka 3000
KUMBUKA connection hii ni kwa wale wanaotumia mafuta haya tuu,