Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

WAKUU MIMI NI SUPPLIER WA VITUNGUU KWA ANAYEHITAJI KUANZIA KILO 5 MPKA 100 ANICHECK PIA MWENYE CONNECTION KWENYE MIGAHAWA NA HOTELI NAOMBA AFANYE KWELI MNAWEZA NICHECK HAPA

0757590836
 
Tufanye haya ili tuepukane na ugumu wa maisha kutokana na ughali wa mafuta ya kupikia kupanda bei. unaweza kutumia mafuta ya nguruwe kupikia vyakula mbalimbali na ukaokoa gharama kubwa na ukapata mafuta mazuri pia ni mafuta yanayostahimili moto mkali wakati wa kukaangia vitu.
unaweza nunua mafuta yako kwa watu wa kutengeneza kitimoto ama kununua toka kwa wachinjaji na ukaja yaandaa mwenyewe ama ukanunua ambayo yashaandaliwa na ukaja ukayachuja na tissu na yanakuwa masafi kabisa na utayatumia vizuri pasipokuwa na shida.
Pia yanapatika kwa unafuu na sehemu nyingi tu, pia bei inaweza range kati ya 2000 mpaka 3000

KUMBUKA connection hii ni kwa wale wanaotumia mafuta haya tuu,
Vip Kuhusu Afya kwa maama ya kuganda kwenye mishipa na kuleta Cholestro mwisho presh ya damu?? je umefanyia utafiti wa matokeo yake?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
customer care wa kike anahitajika.
Awe anajua kingereza vizuri.
Awe nadhifu na mwenekano mzuri.

Atapewa mkataba kamili..
Atapata accommodation,
Transport na meal allowance.

Business Restaurant
Location ni [emoji1190] oman

Kwa maelezo zaidi +255 689 064 080.

Pia wanahitajika Barista wawili wa kike
 
customer care wa kike anahitajika.
Awe anajua kingereza vizuri.
Awe nadhifu na mwenekano mzuri.

Atapewa mkataba kamili..
Atapata accommodation,
Transport na meal allowance.

Business Restaurant
Location ni [emoji1190] oman

Kwa maelezo zaidi +255 689 064 080.

Pia wanahitajika Barista wawili wa kike
Nilipoona OMAN tu nikawaza human trafficking
 
customer care wa kike anahitajika.
Awe anajua kingereza vizuri.
Awe nadhifu na mwenekano mzuri.

Atapewa mkataba kamili..
Atapata accommodation,
Transport na meal allowance.

Business Restaurant
Location ni [emoji1190] oman

Kwa maelezo zaidi +255 689 064 080.

Pia wanahitajika Barista wawili wa kike
OMAN tena?? Huko wamekosekana proffesional wa hiyo kazi wanaokidhi vigezo hivyo ulivyoweka??
 
Namba za muhusika ziko hapo unaweza mcheki ukamwuliza direct kupata majibu sahihi zaidi,mimi nime share tu
 
Hi wakuu, mwenye kujua walipo wateja au kama kuna wateja humu, karibuni senene watamu. Sh 5000 tu, nipo Dar nakufikishia popote kwa Dar ila utachangia gharama kidogo.

20220220_143032.jpg


20220220_131659.jpg
 
Wakuu naomba mnisaidie mambo yahusuyo madini maana kuna sehemu nimeenda shambani Leo nimekuta kuna mwamba wa chuma baada ya kuutindua nimepata kipande cha jiwe LA chuma ambalo linashika sumaku...
Kwa utaalamu mdogo nimegundua ni madini chuma kwa muonekano wake

Ila Mimi sio mtaalamu naomba kujua kuna aina ngapi za madini chuma maana huwa nasikia chuma cha pua n.k

Je niwapi siko lake lilipo maana sina uwezo wa kuyachenjua

Nahitaji vibali gani nikipata solo LA uhakika LA kuyauza hayo mawe kwa wingi?

Naweza kuuza bei gani kwa kg moja hapa TZ?

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU
IMG_20220220_150554.jpg
 
Back
Top Bottom