Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nahitaji mtu ambaye tutaungana kufanya biashara ya kurusha nyimbo ,movie ,games ,kutengeneza simu na utundu wa namna hiyo kwenye kijiwe changu manzese sokoni ,ni sehemu ndogo ila inaweza kufaa.Kama kuna msakatonge kama mimi usisite nicheki
Nipe ramani inakuwaje
 
Usishee tena siku nyingine, juzi tu msichana wa Uganda amerudishwa na wheelchair toka UAE wamemtoa figo Waganda wakaja juu Waarabu wa Dubai wakasema yule mwajiri amlipe fidia ya mil 160Tzs wakati wamemuibia figo, maisha yake ni ya kumtumaini Mungu zaidi kwa sasa
Mkuu haya mambo yako mbona hata hapa bongo..

Sidhani kama huyo mganda ndio wa kwanza kisafiri,wako wanaokwenda na kurudi kila baada ya miaka miwili..

Ukinilimit nisi-share fursa zinazotokea itakua sio sawa,wewe ukiona haikufai wako watu zinawafaa..

Cha msingi akikisha unajiridhisha kabla ujasafiri..

Try at your own risk.

Usiseme sijakwambia.
 
Nahitaji mtu ambaye tutaungana kufanya biashara ya kurusha nyimbo ,movie ,games ,kutengeneza simu na utundu wa namna hiyo kwenye kijiwe changu manzese sokoni ,ni sehemu ndogo ila inaweza kufaa.Kama kuna msakatonge kama mimi usisite nicheki
Umeshampata?
 
T-shirt form six plain bei ya jumla . natafuta maduka kariakoo mtaa gani
 
Freezer ya mtumba inauzwa
Price:700,000
Contacts: 0764108259
IMG_20220309_134341.jpg
 
Mliopo kigoma naomba kujua upatikanaji wa dagaa wa kigoma na migebuka upoje na bei imesimama vipi kwa sasa, pia upatikanaji wa leseni ya kusafirisha dagaa to Dar.
Hii biashara ya dagaa ulifanikisha mkuu?
 
Banda zuri linauzwa:
[emoji93] Linafaa kwa biashara mbalimbali Kama nguo za kiume au za kike, viatu vya kiume au vya kike, nguo za ndani, M-PESA, nk
[emoji93] Lipo Ubungo mabibo hostel kwa ndani kidogo.
[emoji93] Banda ni futi sita kwa sita (6x6)
[emoji93] Linabebeka kiurahisi kwa Kirikuu.
[emoji93] Unapewa na mlango wa aluminium na vioo vyake.
[emoji93] Bei ni 950,000 (maongezi yapo)
[emoji93]Kwa mawasiliano zaidi :0628443946(simu ya kawaida) au 0762370433 (WhatsApp).
KARIBUNI SANA View attachment 2146091View attachment 2146092View attachment 2146093View attachment 2146094View attachment 2146095View attachment 2146096
IMG20210823192427.jpg
 
natafuta wanunuzi was jumla na rejareja was pilipili(sauce)
ya embe na ya ukwaju
inafaa kwa matumizi ya Nyumbani na wenye biashara ya chakula
zinatumika kurowekea nyama na pia Julia chakula (dipping)
ni kionjo matata sana hasa kwa wauza chips
inapatikana kwa chupa ya Lita moja
nusu Lita na robo Lita.
karibuni sana
👍
 
Lita 1 @2500
nusu Lita 2000
robot Lita @1500
kwa wateja wa jumla

Rejareja Lita 1 @3000
Nusu Lita @2500
robo Lita 2000

bei hizi ni kwa sauce zote ya maembe na ukwaju pia
Napatikana Kimara ,
Riverside na External
pia delivery IPO
Karibuni
inabidi mtu achukue chupa ngapi ili umuuzie kwa bei ya jumla
 
Back
Top Bottom