Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nauza piki piki ya watoto Electric quadbike 4×4

Inatumia betri ya kuchaji na umeme,(12v)
Music system (USB,memory card,aux,children songs and tales)

Inafaa watoto wenye umri miaka 3-10

Tunafanya delivery popote Tanzania

Kama unahitaji tuwasiliane 0764108259View attachment 2126048View attachment 2126049View attachment 2126050View attachment 2126051View attachment 2126052View attachment 2126053View attachment 2126054
IMG_20220219_133951.jpg
 
Namba za muhusika ziko hapo unaweza mcheki ukamwuliza direct kupata majibu sahihi zaidi,mimi nime share tu
Usishee tena siku nyingine, juzi tu msichana wa Uganda amerudishwa na wheelchair toka UAE wamemtoa figo Waganda wakaja juu Waarabu wa Dubai wakasema yule mwajiri amlipe fidia ya mil 160Tzs wakati wamemuibia figo, maisha yake ni ya kumtumaini Mungu zaidi kwa sasa
 
Duuuuuhhh aiseee noma
 
Mafuta ya nywele asili naweza pata
Mimi ninayo ya myonyo, jumla na rejareja karibu
Jumla 5ltrs-60,000 ya nywele, 70,000 Mwilini(mixed)
reja reja- 250mls-10,000, 200mls-8,000 na 180 mils-5,000(haya ukichukua more than one bottle nakupunguzia 1,000 KARIBU MKUU).
 
Nauza piki piki ya watoto

Condition:used

Inatumia betri ya kuchaji (12v)

Ina music system (Usb port,aux,children songs and tales,memory card)

Tunafanya delivery popote

Mawasiliano 0764108259
IMG_20220226_115855_064.jpg
 
Naomba msaada nahitaji kununua kwa jumla vifaa vya kielectronics kama earphones, memory card, flash, mp3, Bluetooth speaker, betry za simu n.k.
Kama kuna muuzaji wa vifaa hivyo au anaefahamu wapi vinapatika kwa bei nzuri tutafutane
0717 724 800
 
Ungesema upo mkoa gani ingekuwa rahisi kufahamishwa
 
Nahitaji mtu ambaye tutaungana kufanya biashara ya kurusha nyimbo ,movie ,games ,kutengeneza simu na utundu wa namna hiyo kwenye kijiwe changu manzese sokoni ,ni sehemu ndogo ila inaweza kufaa.Kama kuna msakatonge kama mimi usisite nicheki
 
Nahitaji Line ya uwakala ya M-Pesa

Mwenye nayo tuwasiliane PM
 
Vip Kuhusu Afya kwa maama ya kuganda kwenye mishipa na kuleta Cholestro mwisho presh ya damu?? je umefanyia utafiti wa matokeo yake?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mafuta hayawezi kuganda ndani ya mishipa iyo elimu watu waliibumba so bado imestik vichwan mwa watu. Mishipa ya damu huwa inapataga uchakavu ama tuseme ina kuwa dhaifu ila si kwa mafuta.
Pili swala la presha ni swala jingine ambalo lipo mbali sana
 
Back
Top Bottom