Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako. Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya Maintenance service kwenye Engine na Ac alternator/Kinu. Wasiliana na nasi kwa 0693296809 Call and Whatsapp. Karibuni sana
👍
 
Anahitajika kijana anayeweza kuuza samaki wa kukaanga maeneo ya manzese .
Awe mkazi wa manzese(dar es salaam) au eneo la karibu lisilohitaji usafiri .
Malipo ni maelewano kati yake na boss .
Tuwasiliane kwa muhitaji au unamtu wa karibu anaweza kazi hii
 
wakuu mimi nahitaji pumbu za mbuzi, ng'ombe.

wanauza wapi kwa jumla?
anayejua anijuze pleas!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

mkuu ni inshu serious!

nilienda sehemu fulani tofauti kama nne hivi mjini hapa watu wanakula sana hizo mambo!
sasa nimeangalia mtaani kwetu hiyo kitu inahitajika.
anayejua zinapouzwa pumbu za mbuzi na ng'ombe kwa jumla anitonye
 
Nenda machinjio ya karibu..utapata unachokitaka.

#MaendeleoHayanaChama
 
natafuta wanunuzi was jumla na rejareja was pilipili(sauce)
ya embe na ya ukwaju
inafaa kwa matumizi ya Nyumbani na wenye biashara ya chakula
zinatumika kurowekea nyama na pia Julia chakula (dipping)
ni kionjo matata sana hasa kwa wauza chips
inapatikana kwa chupa ya Lita moja
nusu Lita na robo Lita.
karibuni sana
Pcha ni muhimu boss
 
mkuu ni inshu serious!

nilienda sehemu fulani tofauti kama nne hivi mjini hapa watu wanakula sana hizo mambo!
sasa nimeangalia mtaani kwetu hiyo kitu inahitajika.
anayejua zinapouzwa pumbu za mbuzi na ng'ombe kwa jumla anitonye
Biashara ya wachina hiyo pamoja mpirit na pembe
 
Nahitaji mtu ambaye tutaungana kufanya biashara ya kurusha nyimbo ,movie ,games ,kutengeneza simu na utundu wa namna hiyo kwenye kijiwe changu manzese sokoni ,ni sehemu ndogo ila inaweza kufaa.Kama kuna msakatonge kama mimi usisite nicheki
Umepata?!
 
mkuu ni inshu serious!

nilienda sehemu fulani tofauti kama nne hivi mjini hapa watu wanakula sana hizo mambo!
sasa nimeangalia mtaani kwetu hiyo kitu inahitajika.
anayejua zinapouzwa pumbu za mbuzi na ng'ombe kwa jumla anitonye
Nenda kwenye machinjio mzeee utazipata kibao
 
BANDA ZURI LA BIASHARA LINAUZWA:
[emoji93] Linafaa kwa biashara mbalimbali Kama nguo za kiume au za kike, viatu vya kiume au vya kike, nguo za ndani, M-PESA, nk
[emoji93] Lipo Ubungo mabibo hostel kwa ndani kidogo.
[emoji93] Banda ni futi sita kwa sita (6x6)
[emoji93] Linabebeka kiurahisi kwa Kirikuu.
[emoji93] Unapewa na mlango wa aluminium na vioo vyake.
[emoji93] Bei ni 850,000 (bei ya punguzo na maongezi yapo)
[emoji93]Pia Kama ukitaka mlango wa aluminium peke yake au Banda peke yake maongezi yako
[emoji93]Kwa mawasiliano zaidi :0628443946(simu ya kawaida) au 0762370433 (WhatsApp).
KARIBUNI SANA View attachment 2156796View attachment 2156797View attachment 2156798View attachment 2156799View attachment 2156800View attachment 2156801View attachment 2156802View attachment 2156803
IMG20210824213434.jpg
 
Sorry wakuu, ninashida moja
Ninahitaji yebo yebo(ndala) za jumla jumla zile za bei Chee kuanzia 1,200/= Hadi tsh 1,500/=
Ni hilo tu ntashukuru saana
NB: niliwahi sikia kuwa dar es salaam kunawachina Huwa wanazalosha hizo yebo

Siku nyingine jaribu kuacha mawasiliano
 
Back
Top Bottom