Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

chupa ndogo 7,000 kubwa 12,000... Mafuta yanamchanganyiko wa mnyonyo, coconut oil, olive oil, Shea butter, na paraffin oil.. mafuta ni mazuri kwa nywele na yana harufu nzuri.Weka order yako .

 
Wakuu yule mwamba aliyekuwa anaweka oda ya nyanya mwezi wa 3 akitokea Dodoma mwambieni anicheki +255738317905
 
Habarini za mchana wakuuu?
Mimi naleta bidhaa zangu hapa nauza mafuta ya mnyonyo kama inavyoonekana pichani na sabuni za maji multi-purpose nzuri na zenu harufu mbali mbali… nawafikia wakazi wa Arusha na Dar Es salaam kwa wakati..
Bei ya mafuta.
1. 250Ml-10,000
2. 200ml-8,000
3.180ml-5,000
Bei ya sabuni
5litres-10,000
1.5litres-3,500
Na Pia natoa fursa kwa vijana wenzangu kwa kuwauzia porducts zetu kwa jumla na kuwapa muongozo wa kufanya mauzo ili waweze kujiwezesha kupata kipato..
Karibuni sana bidhaa zetu ni za uhakika for more info tutafute(0744-268966)



 

Attachments

  • IMG_5999.jpg
    68.8 KB · Views: 78
Natafuta wateja niwauzie perfumw bei ya jumla na rejareja kwa mikoa yote mimi nipo dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…