Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Hakuna nliposema nauza broilers kwa elfu 10 mkuu. Wacha majaribu.Hebu tuwaone hao bloila wa elfu kumi mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna nliposema nauza broilers kwa elfu 10 mkuu. Wacha majaribu.Hebu tuwaone hao bloila wa elfu kumi mkuu!
kaka nipatie namba yako naweza kuwaletaBroiler wa miezi 4?
Anyway mimi nahitaji broiler 150 kila week kama unao, njoo tuyajenge
Bei yako iko je?
Kuku wangapi?Nahitaji mabanda ya kufugia kuku ya kukodi kwa Dar
Offer yako ipoje?Broiler wa miezi 4?
Anyway mimi nahitaji broiler 150 kila week kama unao, njoo tuyajenge
Bei iliyoko sokoni. Madalali sitakiOffer yako ipoje?
Hii nitakutafutaIncubator ya mayai 36. Full automatiki na inageuza mayai yenyewe. Inatumia umeme wa AC 220v na DC 12V. Tayari imesetiwa joto la kutotolesha zaidi ya aina 5 za mayai ya ndege. Bei yake ni sh 200,000 tu. View attachment 2076529View attachment 2076531
Naomba tuwasiliane nimekutumia contacts inboxNaitaji anayetaka kufanya biashara yaukopeshaj vibar nautaratibu upo nina kampun kabisa nafany iyo biashara rakin wateja wananizidia
Habari yako mkuuNaomba tuwasiliane nimekutumia contacts inbox
Mkuu nimekuja inbox kwako huko.Naomba tuwasiliane nimekutumia contacts inbox
mkuu unawapa chakula gani hao na mimi ntka nizalishe mayai ya kienyejiNina uza mayai ya kuku wa kienyeji kwa dar trei ni 14.000
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app