Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wakuu nahitaji friji la kukodi au kulipia kwa awamu kwaajili ya biashara ndogo tu ya kinyumbaninyumbani ,maana sina pesa ya kutosha kununua.
Location : dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…