Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Habari wapendwa.
Tunauza asali jumla jumla na reja reja

BEI ZETU
*170g Tsh 2000 jumla na 3000 reja reja
*300g Tsh 6000 jumla na 7000 reja reja
*500g Tsh 8000 jumla na 9000 reja reja
*28kg Tsh 185,000 (lita ushirini)

Asali yetu ni tamu sana imethibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (tbs) na kupata kibali inafaa kwa mlaji.

Tunapatikana Mkoa wa Dodoma na Iringa karibu sana wateja na wajasiriamali,tunatuma pia Mikoani popote ulipo.

KWA MAWASILIANO;
PIGA 0623930633 micheki pia whatsapp
 
Habari natafuta partner wa kufanya nae biashara ya kuandaa event mbalimbali au muwekezaji tufanye biashara malipo 50/50 kwa kila event
Nb: uhaminifu muhimu
 
Habari natafuta partner wa kufanya nae biashara ya kuandaa event mbalimbali au muwekezaji tufanye biashara malipo 50/50 kwa kila event
Nb: uhaminifu muhimu
Mchango wako kwenye hiyo biashara utakuwa nini?
 
Habari zenu kwa walio mikoani na wanataka bidhaa Dar es salaam iwe spare,mavazi,vipodozi,simu, na Chochote kile ambacho ni rahisi kupatikana kwa

Dar es salaam nipo hapa kwa kuwachukulia bidhaa Unayoitaka na kukusafirishia uaminifu ni asilimia mia
Ondoa shaka nipigie kwa namba hizi kwa Mazungumzo zaidi

0621217710
0718775701
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…