Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mimi nipo iringa. Binafsi ninakipaji cha kuwa na business ideas mbalimbali. Jicho langu naliamini Sana. Mtu yeyote aliye iringa tujadili hapa hapa bila kwenda pm ili tuvumbue ideas za biashara kw mkoa WA iringa. Mimi sina mtaji Ila nikikusaidia ukafanikiwa mungu atanibariki.
 
Ninahitaji sendo za kike na kiume,boxer za kiume na bukta kwa bei ya jumla.Naweza kuvipata maeneo gani kariakoo?
Tugawane faida kidogo ili maisha yaendee
Hapo chini hizo za kiume bei ya jumla nitakupatia kwa
7500 bei ya jumla kuanzia pc3, izo kwenye mfuko zinakuwa pics 6=21500,,zinazofuata hizo za kiume 19,000,, izo za mwisho chini 37,000
Nitakutmia kama uko mbali na dar es salaam ila utqchangia nauli kidogo uamini kwanza kabla ya kazi karibi sanaView attachment 2263145
 
Bila kusahau viti pendwa kwa wadada nakutumia popote ulipo ndani ya Tanzania ila utaongeza nauli kidogo maisha yaendee 13,000tu,dazeni moja moja
Karibu sana.
Hakuna cha dm ni hapa hapa[emoji1787]View attachment 2263165View attachment 2263170View attachment 2263169View attachment 2263166View attachment 2263167View attachment 2263168View attachment 2263171
 
Unazo zile chupi za kamba? Maana hizo ndio nasikia zinauza sana hasa kwa wadada wenye matako
 
Naamu mkuu
 
Kwa hapo ulipo ni fursa zip umeona ambazo mtu akifanya anatoboa
 
Anotaka kuniagiza mzigo nipo zenji hpa bei za zenji zinajulikana
Tv,baskeli, inshort chochote kile mimi nitakutafutia na uaninifu ni 100%
Naomba bei ya ps4 slim na pro used au new.

Jibu tu apaapa mkuu pm sio rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…