WAKUNJOMBE
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 615
- 624
Mm nafungua duka la vinywaji (liquor store)nina mtaji kama wa 70m..issue napata wapi hizo bidhaa yaani vinywaji vikali...naombeni connection...Nina Kama wiki tatu huku Kuna fursa nyingi sana upande wa biashara ya mazao mchawi mtaji tu.