Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ukitaka jumla kwa izo sendo za chini kbsa inakuwaje mzee
 
Ukito anamba ndio bomba zaidi.. namba yangu whatsapp ni 0767935050

Mfano nilipo kuwa nawaza kuwekeza katika vinywaji vikali makambako na mafinga vilikuwa kichwani mwangu..ila nikaamua kuanza na Korogwe
 
Unataka kumnunulia nani kifuniko cha asali😂😂
Wake za watu wamesemanhaiwezekai waume zao wanawanunulja chupi alafu mie naondoka nazo. So inabidi niwanunulie mie wazivae alafu ndio wanipe nikae nazo kama ukumbusho.
Napendaga kuzinusa nusa nikuwa chumbani kwangu.

Mzima lakini wewe? Umepotea au ndio ulishapata mume
 
Mkuu kama upo Iringa mimi nipo Njombe, sio mbaya ukishare na mimi hizo idea huenda zikawa na manufaa kwa ukanda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…