Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nahitaji kufanya biashara ya Viatu vya kike km open shoes,sandles na simpo mwenye uzoefu naomba muongozo
 
Bado ipooo
 
Nahitaji connection ya sehemu wanapotengeneza mifuko hii ya magufuli iliyoruhusiwa nahitaji kununua kutoka huko.
 
Nipo na mashine ya popcorn dar mwnyw chimbo au connection ya mall au Mahal wanapocheza watoto Nije niiweke anichek jaman popcorn nzur natengeneza
 
Kuku fresh kabisa, nyama ya mbuzi, na Samaki (sato) wanapatikana;

Kuku: Tsh. 8000
Mbuzi: Tsh. 12,000/1KG
Samaki (sato): Tsh. 12,000/1KG

Pia ukihitaji filigisi, vichwa vya kuku, au miguu nicheki chap!

Call/Whatsapp: 0692987122
Karibuni sana, napatikana Kimara Temboni, DSM.

View attachment Nyama Banner.png
 
Kwa walioko wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma....natafuta mwenyeji huko nikapaangalie Kisha nifungue kabiaashara (sijawahi fika)
 
Habari mkuu?
Ikikupendeza naomba unifungulie PM ninashida na connection ya biashara ya karanga ya Tabora, nataka kujuwa na bei na naweza kupata kwa uwingi kwa mara moja?
hiyo biashara ya karanga nisaidie na mimi namba yangu ni 0715296923
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…