Kaselele
Senior Member
- May 19, 2022
- 171
- 476
Mkuu hawa unaimport kutoka ulaya?? Mbona bei imechangamka hivo??Napatikana zanzibar kilo 17000sh
Ukihitaji naweza kukupatia kwa bei ya 9000 kwa kilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hawa unaimport kutoka ulaya?? Mbona bei imechangamka hivo??Napatikana zanzibar kilo 17000sh
Kwa Mahitaji ya Nyama Safi ya Kitimoto Nicheki kwa Bei ya jumla na Rejareja
1 KG 8000
Delivery ipo
Tunapatikana keko bora 0656080608
Unataka uwe unauzia wapi? Tayari frame ipo?Nahitaji kufanya biashara ya Viatu vya kike km open shoes,sandles na simpo mwenye uzoefu naomba muongozo
Bado ipoooSource #1:
Source #2:
PIKIPIKI HII INAUZWA BEI NZURI SANA
Wakuu ni matumaini yangu wote humu mko poa, kijana wenu baada ya salam nmekuja kwenu kuwapaa fursa ya pikipiki ninaiuza ni tvs150 ya blue ni gia 4 sio 5 ni zile za mwanzo mwanzo ni imara sana na bado iko na hali nzuri kama inavoonekana hapo kweny picha inapiga stata jino moja tu imewaka ni namba Mc 679 CBB ni mali yangu mwenyewe haina tatizo bali mimi ndo nina shida ya hera maana kimfaaacho mtu chake niliinunua kwa mtu nae alikuwa na shida nmetumia kwa mda wa kama mwaka mmoja baada ya kuinunua
Bei yake ni laki 9 na nusu ila ukiwa serious maongezi yapo, alieniuzia alikuwa anatumia kuendea tu kazini na kurudi ila baada mimi kuinunua niliifanya bodaboda, Docoment zake zote zipo kwa maana ya Kadi ya pikipiki mimi sio mara ya kwanza kufanya biashara hapa mtandaoni hasa hapa jf ninaishi dar kwangu mitaa ya Kinyerezi Kifuru unaweza kuja hata ukapaona kwangu napokaa na familia yangu pia nishauza vitu kibao tu na wala sina longolongo wala siuzagi vitu vyenye matatizo ni vyangu mwenyewe
nishawahi uza hapahapa jf na vyote nilipata wateja, kwaiyo niwaondoe shaka, Unaweza usihitji wewe lakini ukawa ndugu jamaa nna maafiki hata jirani yako pia. Asanteni na karibuni sana wahi usichelewe Kwa mawasiliano nichek call, sms na WhatsApp 0756695846 na 0712776823.
View attachment 2453623View attachment 2453625
Bado unazo. Nahitaji za karotiMwenye kujua soko la sunstones? Nina kilo za kutosha
Nipo na mashine ya popcorn dar mwnyw chimbo au connection ya mall au Mahal wanapocheza watoto Nije niiweke anichek jaman popcorn nzur natengeneza
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Taja sehemu specific n mrijo????Kwa walioko wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma....natafuta mwenyeji huko nikapaangalie Kisha nifungue kabiaashara (sijawahi fika)
Zen biashara gan??Kwa walioko wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma....natafuta mwenyeji huko nikapaangalie Kisha nifungue kabiaashara (sijawahi fika)
Yeyote kwani mtaji mdogo(kama million Moja)
Tuko wengi tunaomba msaada wadau wenye connection kwenye hili.Naomba connection ya baloo za mtumba, lebo inayotoa nguo nzuri za watoto, baby light rummage, namba moja ya Canada au UK. Ninapochukuaga wanazingua sana sometimes. Kwa Dar pekee.View attachment 2524101
ulifanikiwa hiyo biasharaMimi Nina mtaji wa mil 7 nataka kufanya biashara ya mchele na mafuta wenye connection nisaidieni Niko Arusha
Sent using Jamii Forums mobile app
0715297923Mimi Nina mtaji wa mil 7 nataka kufanya biashara ya mchele na mafuta wenye connection nisaidieni Niko Arusha
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo biashara ya karanga nisaidie na mimi namba yangu ni 0715296923Habari mkuu?
Ikikupendeza naomba unifungulie PM ninashida na connection ya biashara ya karanga ya Tabora, nataka kujuwa na bei na naweza kupata kwa uwingi kwa mara moja?