Unauza chupi na tyt za wanawake kwa jumla?Nguo kali za mitumba grade A, Cream kabisa, za kike na za kiume.
Wanawake.
1. Mashati ya ofisini.
2. Mashati casual.
3. Form 6.
4. Jeans mkataba.
5. Pensi.
7. Flana.
9. Cardet.
10. Suaruali za vitambaa.
Wanawake.
1. Magauni ya sherehe.
2. Madira.
Nicheki #0623123369 wasap nikuunge group au unaweza ukaingia moja kwa moja.
Tangazo hilohilo linaweza kuwa connection kwa baadhi ya watu. Huemda kuna bidhaa unaihitaji ukakutana na muuzaji ikakurahisishiaHIVI HUU UZI NI WA CONNECTION ZA BIASHARA AU MATANGAZO YA BIASHARA?
Epson l850 ni bei gani?Habrini za leo.
Iwapo kuna mtu anahitaji printer na photocopy machine mpya na used kutoka Nairobi kwa bei nafuu, unakaribishwa.
Mashine zinazoopatikana ni ni Epson na Canon kwa model zifuatazo
Canon
Ir 2425
Advance i400
Ir 2025
Ir 2024
Ir 2006
Ir 2520
Epson
L805
L850
L382
L3110
L3111
L3150
L3050
Mashin za epson zote ni mpya. Canon zipo mpya na used.
Utaratibu wa malipo:
Utalipia advance ambyo ni 40% ya bei (ambayo itajumuisha usafiri pamoja na ushuru mpakani) kisha baada ya kupokea mzigo utamalizia gharama inayobaki.
Bidhaa zote zina warranty ya mwaka mmoja na bidhaa zetu ziko katikahali nzuri.
Kwa wakazi waliopo kanda ya ziwa utapokea mzigo ndani ya siku 5 tangu ulipofanya malipo. Na walio nje ya kanda ya ziwa utapokea mzigo ndani ya siku 7 za kazi (ukitoa jumamosi na jumapili).
Nyote mnakatibishwa.
Mawasiliano zaidi 0767086446
Mpya au used?Epson l850 ni bei gani?
Nipe bei zote nione.Mpya au used?
Samahani mkuu, kabla sijakujibu swali lako naomba unipe location ili niunganishe na gharama zetu. Au kama uko jirani na mpaka wa sirari nijuze piaNipe bei zote nione.
Ifike dar.Samahani mkuu, kabla sijakujibu swali lako naomba unipe location ili niunganishe na gharama zetu. Au kama uko jirani na mpaka wa sirari nijuze pia
Mpya laki 7Ifike dar.
Pia gharama ya usafiri inaweza kuwa chini iwapo itatokea watu zaidi ya mmoja wanatumiwa mzigo kwa pamoja.Mpya laki 7
Used laki 550
Gharama ya usafiri 30000 (tunatumia njia ya bus)
Sorry mkuu. Nilikosea kusoma. Nimetoa details za l805 badala ya l850.Wacha nikupigie
Noted mkuuSorry mkuu. Nilikosea kusoma. Nimetoa details za l805 badala ya l850.
L850 zipo mpya pekee kwasasa, gharama jumla ni 850,000/=
KaribuNoted mkuu
l850 hiyo bei ni pamoja na ile tray ya kuprint id cards?Sorry mkuu. Nilikosea kusoma. Nimetoa details za l805 badala ya l850.
L850 zipo mpya pekee kwasasa, gharama jumla ni 850,000/=
Hapana. Ukihitaji na trey utaongeza 20000l850 hiyo bei ni pamoja na ile tray ya kuprint id cards?
tuma pichaTV AINA YA BOSS INCHI 32 INAUZWA KWA LAKI NA 30 KWA MWENYE UHITAJI NAYO
Check PM yako mkuu nashindwa kuattach pichatuma picha