Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nguo kali za mitumba grade A, Cream kabisa, za kike na za kiume.

Wanawake.
1. Mashati ya ofisini.
2. Mashati casual.
3. Form 6.
4. Jeans mkataba.
5. Pensi.
7. Flana.
9. Cardet.
10. Suaruali za vitambaa.

Wanawake.
1. Magauni ya sherehe.
2. Madira.

Nicheki #0623123369 wasap nikuunge group au unaweza ukaingia moja kwa moja.

Unauza chupi na tyt za wanawake kwa jumla?
 
Habrini za leo.

Iwapo kuna mtu anahitaji printer na photocopy machine mpya na used kutoka Nairobi kwa bei nafuu, unakaribishwa.

Mashine zinazoopatikana ni ni Epson na Canon kwa model zifuatazo

Canon
Ir 2425
Advance i400
Ir 2025
Ir 2024
Ir 2006
Ir 2520

Epson
L805
L850
L382
L3110
L3111
L3150
L3050

Mashin za epson zote ni mpya. Canon zipo mpya na used.

Utaratibu wa malipo:

Utalipia advance ambyo ni 40% ya bei (ambayo itajumuisha usafiri pamoja na ushuru mpakani) kisha baada ya kupokea mzigo utamalizia gharama inayobaki.

Bidhaa zote zina warranty ya mwaka mmoja na bidhaa zetu ziko katikahali nzuri.

Kwa wakazi waliopo kanda ya ziwa utapokea mzigo ndani ya siku 5 tangu ulipofanya malipo. Na walio nje ya kanda ya ziwa utapokea mzigo ndani ya siku 7 za kazi (ukitoa jumamosi na jumapili).

Nyote mnakatibishwa.

Mawasiliano zaidi 0767086446
Epson l850 ni bei gani?
 
Back
Top Bottom