Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mjasiriamali anawezaje kuingia humu?

#YNWA
 
Natafuta kibanda kilichopo dodoma kwaajili ya kufanyia miamala ya simu plus miamala ya bank.

Yeyote mwenye hii connection nahitaji wakuu.
 
Unafaa sanaaa.
Nimefungua kampuni.
Natunza hii kwa matumizi yangu ya baadae.

#YNWA
 
Kwa yeyote anayejua soko la chupa take away K vant, konyagi, henken, Windhoek,bavaria,badwiser,dompo na aina nyingine yoyote anisaidie connection kwani ninazo za kutosha tatizo soko,0759656557/0775358586
Nilishawahi kupata wazo la kuzi recycle hizi chupa..!!!

#YNWA
 
Mwenye kampuni ya building kuanzia class 5 na civil kuanzia class 4 tuwasiliane mapema sana kuna kazi zinataka mkandarasi haraka.
 
Nahitaji mtu wa kushirikiana naye nimefungu kampuni inayojihusisha na ujenzi (Building Contractors) pamoja na vifaa tiba (Supply, installation , repairing and maintenance of medical equipment)

Nahitaji mtu wa kushirikiana naye ku clear baadhi ya mahutaji , nguvu ya pekee yangu imekuwa ndogo.

nina uzoefu sana katika kutengeneza links mpya za kuweza kutupatia tenders hususani hizi za serikali.

Kwa yeyote aliye tiyari tutaingia makubaliano ya kisheria ya namna tutakavyogawana faida ya mwisho.

napatikana kwa namba 0675703608 (whatsapp na hata mawasiliano ya kawaida pia)
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…