Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako. Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya Maintenance service kwenye Engine na Ac alternator/Kinu. Wasiliana na nasi kwa 0693296809 Call and Whatsapp. Karibuni sana
 
Wanaotaka kufanya biashara ya maharage mkoani njombe tuwasiliane, ila uwe na mtaji wa kutosha, namba zangu hizi hapa, 0753880814, 0747565816, 0676645304.

Hizo ni namba zangu zote, vile vile wateja wakubwa kama wapemba tuoneni sisi huku yakonakotoka maharage moja kwa moja, msiishie Makambako tu.

Ni hayo,
tu kwa kirefu zaidi tuwasiliane.
 
Kuna mtu alinitafuta kwenye simu kuhusu biashara ya maharage, nikamwambia nitamtafuta baadae kwasababu nilikua naelekea kwenye kazi fulani, bahati mbaya ile namba yake ya simu nimeipoteza nashindwa kumtafuta kama atayaona haya maelezo anitafute au anibipu ili tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom