Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wadau baada ya corona kusimamisha kazi zangu; sasa natafuta connection ya kuuza dagaa Dodoma na Dar. Dagaa wa Musoma weupe na hawana mchanga hata tone.! Wanaanikwa kwenye neti. Kazi yangu ni kuwakusanya kwa waanikaji na kutafuta soko la kuwatuma Dodoma na Dar. Ni dagaa wazuri ambao ukifika nyumbani ni kuosha na kupika. Natafuta soko nianze kuwakusanya. Ambao wapo serious tuwasiliane ili nianze kuingia mtaani kuwakusanya. Contact; 0652527776
 
Si kununua kwa mtu au watu bali ni kununua moja kwa moja majarubani/mbugani kwasababu sisi tupo sehemu yenye majaruba ya mipunga kwahyo kwa 1milioni ni hela ndefu kiasi kwahyo faida ni maradufu tofauti na udhaniavyo nyie simnasota na mjini huko hamjui hata majaruba ni nini?? Mnajua tu kula wali....
Unazingua boss jaruba si tuta lenye zao kwa hiyo unanua kila tuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaotaka kufanya biashara ya maharage mkoani njombe tuwasiliane, ila uwe na mtaji wa kutosha, namba zangu hizi hapa, 0753880814, 0747565816, 0676645304.

Hizo ni namba zangu zote, vile vile wateja wakubwa kama wapemba tuoneni sisi huku yakonakotoka maharage moja kwa moja, msiishie Makambako tu.

Ni hayo,
tu kwa kirefu zaidi tuwasiliane.
Wapi huko boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom