Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wadau baada ya corona kusimamisha kazi zangu; sasa natafuta connection ya kuuza dagaa Dodoma na Dar. Dagaa wa Musoma weupe na hawana mchanga hata tone.! Wanaanikwa kwenye neti. Kazi yangu ni kuwakusanya kwa waanikaji na kutafuta soko la kuwatuma Dodoma na Dar. Ni dagaa wazuri ambao ukifika nyumbani ni kuosha na kupika. Natafuta soko nianze kuwakusanya. Ambao wapo serious tuwasiliane ili nianze kuingia mtaani kuwakusanya. Contact; 0652527776
 
Unazingua boss jaruba si tuta lenye zao kwa hiyo unanua kila tuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi huko boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…