Huwa naona wanayunga kwenye mabox na kusafirisha kwenye mabasi ya dar. Karibia kila siku mtu huyo anasafirisha. Nadhani ni elfu kumi kwa boxWakuu mimi naomba kujua gharama za usafirishaji wa dagaa wa kukaanga na wakavu kutoka mwanza mpaka dar, natamani nifanye biashara hii ila upande wa usafiri bado sijajua, vipi kwa basi inawezekana kusafirisha? Kwa yeyote anaefanya hii biashara naomba ufafanuzi juu ya usafiri. Thanks in advance.
Sent from iPhone 6s Plus
Nicheki 0658438825Salama. Mwenye connection ya wahusika wa mashine za kupukuchua mahindi. Please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki 0658438825Salama. Mwenye connection ya wahusika wa mashine za kupukuchua mahindi. Please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki email address jumakiuno93@gmail.comSalama. Mwenye connection ya wahusika wa mashine za kupukuchua mahindi. Please.
Sent using Jamii Forums mobile app
NIKO DARMkuu upo mkoa gani tufanye kazi
Bei ipoje mahindinaomba connection ya mfanyabiashara wa mahindi anayepelekaga nje ya nchi. Mimi ni mfanyabiashara mdogo na nitakua namkusanyia mahindi kutoka vijijini ndani ndani huko na kumuuzia kwa bei nafuu....
Nipo singida na mahindi yapo mengi sana kwa bei nafuu
Wapo humu?Salama. Mwenye connection ya wahusika wa mashine za kupukuchua mahindi. Please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule mizigo haiend sa hv , Corona hali mbaya sananahitaji connection ya kuuza mahindi nchini kampala na kenya wadau wenye connection wanijuze pls na jinsi ya kupata kibali nchi hizo
Nipo Dar es salaam Mkuu
maji au majani?Naomba kujua mahali zinakopatikana hii machine ya kufyeka maji kwa hapa bongoView attachment 1422608
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Mchele kilo sh ngapi ninaitaji conection ya mazao mahindi maharage na mchele. Mwenye kujua ni pmIyo kilo 100 mchele wanauzaje
Hapa kwetu kilo 1,400/=Jaman mchele n bei gani kwa Sasa huko vijijin
god is good
mkuu mkoa gani huo?
hebu tushirikishane...kuna shda gan kuweka namba hapa kama huna ugomvi na mtu yyte?Mkuu si vizuri kuweka namba YAKO hapa NI USHAURI tu wenye shida na wewe watakufuata pm
Sent using Jamii Forums mobile app