muhandu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 311
- 83
Huwa naona wanayunga kwenye mabox na kusafirisha kwenye mabasi ya dar. Karibia kila siku mtu huyo anasafirisha. Nadhani ni elfu kumi kwa boxWakuu mimi naomba kujua gharama za usafirishaji wa dagaa wa kukaanga na wakavu kutoka mwanza mpaka dar, natamani nifanye biashara hii ila upande wa usafiri bado sijajua, vipi kwa basi inawezekana kusafirisha? Kwa yeyote anaefanya hii biashara naomba ufafanuzi juu ya usafiri. Thanks in advance.
Sent from iPhone 6s Plus
Sent using Jamii Forums mobile app