Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Connection ya biashara ya maharage anayejuwa soko zuri lilipo anicheki Aina zote za maharage ila sanasna Yale yanjano yanapatika kwa wingi
 
Nmepiga hii business.
Nlikua nachukua dagaa wa kukaanga kutoka igombe au bwiru (mwanza)nawapeleka mbeya! Gharama ni kwanzia 10k inaweza ongezeka pia kutokana na ukubwa wa mzigo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmepiga hii business.
Nlikua nachukua dagaa wa kukaanga kutoka igombe au bwiru (mwanza)nawapeleka mbeya! Gharama ni kwanzia 10k inaweza ongezeka pia kutokana na ukubwa wa mzigo!


Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa taarifa mkuu, changamoto ni zipi? Vp bado unaendelea na hii biashara? Nakama umeacha ni kwanini? Kiasi gani kinatosha kuanza hii biashara? Naomba unijibu mkuu kama hutojali.
 
eleza vzuri hao samaki wanakuwa idadi gani na ww utaniuzia sh ngap ili mtu akipga cost ya manunuzi plus usafir aone kama itamlipa au lah

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiyo 50k haitajumuisha usafiri sanaki watakuwa zaidi ya pc 55 ila kama na usafiri humo humo samaki wakuwa kuanzia 30 mpaka 42 pcs. Kwahyo n ww tu mkuu na mzigo huwa natuma kila daily
 
Nipigie simu: 0715888376
 
Wazee msaada wapi naweza kupata hizi Earmuffs(anti noise), sio headphone Ni zile za kupunguza makelele ya mashine zinazopiga kelele sana.

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Ila ndio ukiweka namba ndio ujue kwamba kuna mambo hutaweza kuyaongelea tena, na huwezi kuongea kama mtu huru

Nadhani hata katika hali ya kawaida ni bora namba yako umpatie anayehusika tu, na hii ni kupitia PM
Hakuna shida yoyote, tatizo kuna watu wanahisi kila mtu yupo JF kwa ajili ya siasa tu na kukosoa serikali.

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Nina kamtaji kama laki nne ivi nimekapata ila sijui pa kuanzia na sijui nifanye mishe gani

Nipo mbeya town,naomba connection au idea ambayo iko practical niweze kukuza hii ela maana muda ninao

Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza dagaa kutoka mwanza mkuu utanishukuru cku moja. Ukitaka nitumie namba yako pm nikupe maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…