Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama bado hujapata mkuu karibu mufindi bei ni kama ifuatavyo 2×2=500 2×4=2800 2×6=3800 1×8=5000 1×10=7000 hizi ndizo zenye uhitaji sana huko dar,dom,mwanza,maswa,bariadi nkNatafuta connection ya biashara ya mbao
@YoungJigger
Majani
Wakuu mimi naomba kujua gharama za usafirishaji wa dagaa wa kukaanga na wakavu kutoka mwanza mpaka dar, natamani nifanye biashara hii ila upande wa usafiri bado sijajua, vipi kwa basi inawezekana kusafirisha? Kwa yeyote anaefanya hii biashara naomba ufafanuzi juu ya usafiri. Thanks in advance.
Sent from iPhone 6s Plus
Ahsante kwa taarifa mkuu, changamoto ni zipi? Vp bado unaendelea na hii biashara? Nakama umeacha ni kwanini? Kiasi gani kinatosha kuanza hii biashara? Naomba unijibu mkuu kama hutojali.Nmepiga hii business.
Nlikua nachukua dagaa wa kukaanga kutoka igombe au bwiru (mwanza)nawapeleka mbeya! Gharama ni kwanzia 10k inaweza ongezeka pia kutokana na ukubwa wa mzigo!
Sent using Jamii Forums mobile app
eleza vzuri hao samaki wanakuwa idadi gani na ww utaniuzia sh ngap ili mtu akipga cost ya manunuzi plus usafir aone kama itamlipa au lahAnaye taka connection ya samaki wa mwanza ni pm, mtaji ni kuanzia 50,000 tu. Nakutumia mzigo na watakulipa mno
Unapatikana wapi?Anayetaka pumba na mashudu ya alizeti anichek nimuungsnishe
Safi sana,fursa hiyoAnaye taka connection ya samaki wa mwanza ni pm, mtaji ni kuanzia 50,000 tu. Nakutumia mzigo na watakulipa mno
Songea
Kama hiyo 50k haitajumuisha usafiri sanaki watakuwa zaidi ya pc 55 ila kama na usafiri humo humo samaki wakuwa kuanzia 30 mpaka 42 pcs. Kwahyo n ww tu mkuu na mzigo huwa natuma kila dailyeleza vzuri hao samaki wanakuwa idadi gani na ww utaniuzia sh ngap ili mtu akipga cost ya manunuzi plus usafir aone kama itamlipa au lah
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipigie simu: 0715888376Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali Katika duniani hii wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kuto kuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Hakuna shida yoyote, tatizo kuna watu wanahisi kila mtu yupo JF kwa ajili ya siasa tu na kukosoa serikali.hebu tushirikishane...kuna shda gan kuweka namba hapa kama huna ugomvi na mtu yyte?
Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Hakuna shida yoyote, tatizo kuna watu wanahisi kila mtu yupo JF kwa ajili ya siasa tu na kukosoa serikali.
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Agiza dagaa kutoka mwanza mkuu utanishukuru cku moja. Ukitaka nitumie namba yako pm nikupe maelekezoWakuu Nina kamtaji kama laki nne ivi nimekapata ila sijui pa kuanzia na sijui nifanye mishe gani
Nipo mbeya town,naomba connection au idea ambayo iko practical niweze kukuza hii ela maana muda ninao
Sent using Jamii Forums mobile app
vp hao samak n wakubwa? mana kama wana size ndogo itakuwa changamoto kuuzikaKama hiyo 50k haitajumuisha usafiri sanaki watakuwa zaidi ya pc 55 ila kama na usafiri humo humo samaki wakuwa kuanzia 30 mpaka 42 pcs. Kwahyo n ww tu mkuu na mzigo huwa natuma kila daily