Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Niko Mbagala Mbande najihusisha na ufugaji wa kuku wa nyama
Nawauza kwa bei ya 5700 kwa rejareja
5500 jumla
6000 unapata kuku alieandaliwa moja kwa moja wewe unampokea tu na kumpika utakavyo
Ila pia nauza kwa vipande vya kuku kama
vipapatio @500/=
Kidari (chicken brest) @1500/=
kikiwa na kipapatio ila kama
hakina ni 1000/=
Paja @1300/=
Firigisi kg 7000/=
Sent from my iPhone using JamiiForums
Taja bei na unapopatikana.wakuu nauza iPad mini air nicheki 0742537423View attachment 1433350View attachment 1433351View attachment 1433352
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine weka mawasiliano
It is never too late to begin. Start now
Anayetaka pumba na mashudu ya alizeti anichek nimuungsnishe
Songea RuvumaMkuu habari ya kwako...hope uko fine, Nipe huo mchongo kwanza unapatikana mkoa gain?
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenNaamini huu uzi utakuwa endelevu na wenye manufaa na naamini Mungu ataweka mkono wake kusitokee utapeli wa aina yoyote ile ,,Amani na Upendo vikatutawale
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku vijijin ni mitaji hatuna fursa zipo nyingi saaana acha kabisaNa rafiki anafany hii mishe..sasa mimi niliko hiyo 2*2 nilinunua 2000@ ..nikamwambia hakuamini...duh..yaan huko porini 500!!!
huku vijijin ni mitaji hatuna fursa zipo nyingi saaana acha kabisa
weka hapa bei ya jumla,,na je kwny box moja vinakuwa vingapi li hata mtu mwngne akiona bei inamfaa ndo akufate inboxOkei boss nakuja
Karanga ghafi hizo za Tabora bei gani kwa sasa?Karanga za mpwapwa na tabora hazifanani...za tabora ni nzuri zaidi pia kibiashara😊! Nw kilo ni 2500
Nichek
Debe 8500!Karanga ghafi hizo za Tabora bei gani kwa sasa?
Duh ziko juu sana naonaDebe 8500!
Nahitaji kujua pia
Duh ziko juu sana naona
Tunaweza kuwasiliana kwa simu mkuu, kama hutojali, nahitaji ambazo hazijamenywa mkuuZilizomenywa boss...moro bei jana ilikua 3200@n
Tunaweza kuwasiliana kwa simu mkuu, kama hutojali, nahitaji ambazo hazijamenywa mkuu