Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Njoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano
Njoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano
Mm pia nilikuwa nahitaji kuku mbegu kubwa, nikambiwa morogoro kisaki na mlimba .

Ila sijajua nikienda naweza tumia mda gan kukupata hao kuku wote , je naweza enda nakurudi siku hyo hyo , gharama za kuwasafirisha hadi inaweza ikiwa shngap
 
Mwenye kujua upatikanaiji wa malighafi za kutengeneza chakula cha kuku kwa bei ya jumla
 
Namtafuta mtu ambae ana uzoefu wa biashara ya nguo kutoka nje ya nchi.

Kama vile jeans za kisasa viatu anicheke dm tunaweza kufanya biashara


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa anayehitaji MBAO (ndefu na fupi, za dawa na kawaida, ngumu na laini), MILUNDA(Mirefu & mifupi) MABATI, NONDO, CEMENT, KOKOTO,GYPSUM BOARD, MARINE BOARD n.k kwa maeneo ya DSM na Pwani tuwasiliane. Tunahuduma ya kuleta mzigo hadi mlangoni Karibuni sana.Tupo Buguruni Dsm na Mlandizi Pwani For serious bzns call&whastsup +255752401379

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20180703_092038.jpeg
    50.4 KB · Views: 14
  • IMG_20191108_172513.jpeg
    105.6 KB · Views: 14
Mabati ya alaf migongo midogo chqrcol grey MNA uzaje bando na yana kaa mangapi na ofisi zenu zipo wapi boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…