Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Njoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano
Njoo mlimba Kuna Kijiji kinaitwa idui Kuna kuku Hadi wa elfu tano
Mm pia nilikuwa nahitaji kuku mbegu kubwa, nikambiwa morogoro kisaki na mlimba .

Ila sijajua nikienda naweza tumia mda gan kukupata hao kuku wote , je naweza enda nakurudi siku hyo hyo , gharama za kuwasafirisha hadi inaweza ikiwa shngap
 
Namtafuta mtu ambae ana uzoefu wa biashara ya nguo kutoka nje ya nchi.

Kama vile jeans za kisasa viatu anicheke dm tunaweza kufanya biashara


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa anayehitaji MBAO (ndefu na fupi, za dawa na kawaida, ngumu na laini), MILUNDA(Mirefu & mifupi) MABATI, NONDO, CEMENT, KOKOTO,GYPSUM BOARD, MARINE BOARD n.k kwa maeneo ya DSM na Pwani tuwasiliane. Tunahuduma ya kuleta mzigo hadi mlangoni Karibuni sana.Tupo Buguruni Dsm na Mlandizi Pwani For serious bzns call&whastsup +255752401379
Polish_20200515_104112011.jpeg
IMG-20200514-WA0066.jpeg
617a9f82-7ccd-4b49-8f6c-dfb87ea8b30e-scale-1.jpeg
Screenshot_20200514-074053.jpeg
IMG_20180122_161408-scale-2.jpeg
IMG_20191009_154534.jpeg
IMG_20180703_095534-scale-1.jpeg
IMG-20200511-WA0025.jpeg
IMG_20190516_163911.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20180703_092038.jpeg
    IMG_20180703_092038.jpeg
    50.4 KB · Views: 14
  • IMG_20191108_172513.jpeg
    IMG_20191108_172513.jpeg
    105.6 KB · Views: 14
Kwa anayehitaji MBAO (ndefu na fupi, za dawa na kawaida, ngumu na laini), MILUNDA(Mirefu & mifupi) MABATI, NONDO, CEMENT, KOKOTO,GYPSUM BOARD, MARINE BOARD n.k kwa maeneo ya DSM na Pwani tuwasiliane. Tunahuduma ya kuleta mzigo hadi mlangoni Karibuni sana.Tupo Buguruni Dsm na Mlandizi Pwani For serious bzns call&whastsup +255752401379View attachment 1450705View attachment 1450706View attachment 1450707View attachment 1450708View attachment 1450709View attachment 1450710View attachment 1450712View attachment 1450713View attachment 1450717

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabati ya alaf migongo midogo chqrcol grey MNA uzaje bando na yana kaa mangapi na ofisi zenu zipo wapi boss
 
Back
Top Bottom