Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nichek inbox mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maharage wanauzaje huko kwa debe??
Maharage yako aina mbalimbali so na bei zinatofautiana kulingana
-aina ya maharage

-ubora wa maharage husika kwa maana ya super na kawaida
... Ila kwa maharage yenye beii kabisa ni tsh38000 debe yaani hiyo ndo first quality na kipenzi cha wateja
 
Hiyo bei hailipi kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…