kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Boss mwaga madini unapatikana wapikuna Ballo konki zinakua na shuka zenye pair na foronya zake.
karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss mwaga madini unapatikana wapikuna Ballo konki zinakua na shuka zenye pair na foronya zake.
karibu
kuhama mji ndo kuna kufanya uuze?Ninauza mashine za kukobolea na kusaga unga sembe ziko okay ukitaka hata na ofisi yake na godown pia mwenyw uhitaj kwa dar mimi ninahama mji kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naweza kuniona nauza miche ya kila aina ya matunda ya kisasa.Napatikana Morogoro, chuo kikuu cha sokoine cha kilimo (SUA).Bei zetu ni nafuu sana,nichek 0744991417Kwa Wakazi wa Dodoma Jiji, ni maeneo gani wanauza miche ya matunda mbalimbali? Hasa ile ya kisasa!
Mkuu, naweza kuniona nauza miche ya kila aina ya matunda ya kisasa.Napatikana Morogoro, chuo kikuu cha sokoine cha kilimo (SUA).Bei zetu ni nafuu sana,nichek 0744991417
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana kiongozi tukuhudumie.Poa mkuu nashukuru. Nitakutafuta. Nina uhitaji wa aina nyingi za matunda. Zaidi ya 20!
MBOA UNAFANYAJE NAZO,UNAZIONGEZA THAMANI AU UNATAKAJENatafuta connection ya biashara ya mbao
@YoungJigger
Madini sana hizi fursa kwa freelancerSio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana
Huna WhatsApp🤗Mwenye bidhaa yake ya chukula au viuongo anahitaji kuuziwa au kusambaziwa tunasambaza kwa haraka zaidi tunapatikana Arusha
njoo pm au email jumaomari@ymail.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja kiongozi ila kwa saizi np Dar ntafanya ivyo
Mwenye connection na biashara ya mafuta ya alizeti (ambayo hayaja chakachuliwa ) toka Dodoma , mi nipo Iringa mjini kwasasa . kama ataweza kutuma madumu ya mafuta toka Dodoma mbaka Iringa basi itakuwa poa zaidi .
Kwa Wakazi wa Dodoma Jiji, ni maeneo gani wanauza miche ya matunda mbalimbali? Hasa ile ya kisasa!
Mwenye connection zinapo patikana kwa wingi mbegu za maboga kuanzia tani
Habari zenu wanaJF. Nauza Soya Lishe ipo Iringa. Nisaidieni koneksheni. Asante
Zipo mkoa gani pia bei shilingi ngapi?Kilo 4,000 zipo