Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wenye connection ya kusafirisha mchanga au kokoto wanipe mchongo. Nina mbongo maji yangu imepaki tuu tani 20-30
 
Namtafuta Fundi Seremala makini na mwaminifu anayeweza kupewa kazi na kuimaliza kwa wakati tuliyokubaliana. Kama kuna Fundi seremala humu au unamjua Fundi seremala mwenye sifa hizo nifuate PM.
 
kwa mahitaji ya vioo vya TV led kuanzia nchi 32 na kuendelea pamoja na kufungiwa nicheki PM
tunafanya CCTV installation
electronic fance
PM ipo wazi

Ndugu yangu wewe upo wapi mahitaji kioo cha TV inch 55 tafadhali.

Tiba
 
Shukran mkuu ngoja nifanye utaratibu kuangalia stereo kesho
Bei ya ELFU 40 imekufa mda mrefu.( huyu dalali inawezekana anakupiga

Bei ya sasa hivi gunia ni 50k mpaka 60k. ( soko ni ilo ilo la ilala). Nami ndo soko nalolijua hilo pekeee mkuu

Japo nasikia arusha mjini napo Limao ni adimu sana sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…