Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ubarikiwe mkuuSawa ntakuchekia
Hembu eleweka mkuu..Kuna mtu anayekopesha bidhaa mfano viatu mtu akitembeza anamlipa pesa
Nahitaji Hilo groupKuna groups za kuagiza za china whatsapp.
Bei za viwandani
mama wawili
Hiii....inakuaje ndugu...kama kuna nafasi ya loan officer n PM.Waone bayport wanahitaji mawakala
Nafahamu mtu anaefanya biashara hiyo Morogoro, kama utaona inakufaa nakutumia namba zake muelewane(anapatikana kihonda viwandani), mafuta yake ni uhakika, sifahamu bei zake lakini.Mwenye connection na biashara ya mafuta ya alizeti (ambayo hayaja chakachuliwa ) toka Dodoma , mi nipo Iringa mjini kwasasa . kama ataweza kutuma madumu ya mafuta toka Dodoma mbaka Iringa basi itakuwa poa zaidi .
Sawa, nitumie namba niongee nayeNafahamu mtu anaefanya biashara hiyo Morogoro, kama utaona inakufaa nakutumia namba zake muelewane(anapatikana kihonda viwandani), mafuta yake ni uhakika, sifahamu bei zake lakini.
MI Nipo Arusha ntakutumiaje sasa?Habari.. nahitaji kuku wa nyama nipo Moshi mjini!!! Wafugaji tafadhali mjitokeze
Ulimpata? Au bado?Natafuta wholesale supplier wa Smartphone mpya
Kaka uko wapi?? Fanya tutafutane hiyo hela hiyo KakaWenye connection ya kusafirisha mchanga au kokoto wanipe mchongo. Nina mbongo maji yangu imepaki tuu tani 20-30
Check PMMwenye connection na biashara ya mafuta ya alizeti (ambayo hayaja chakachuliwa ) toka Dodoma , mi nipo Iringa mjini kwasasa . kama ataweza kutuma madumu ya mafuta toka Dodoma mbaka Iringa basi itakuwa poa zaidi .
Kama ulipata link naomba tafadhaliMkuu nami nahitaji hii kitu kama inawezekana nipatie link za hayo magroup
Mkuu njoo PMkama bado hujapata mkuu karibu mufindi bei ni kama ifuatavyo 2×2=500 2×4=2800 2×6=3800 1×8=5000 1×10=7000 hizi ndizo zenye uhitaji sana huko dar,dom,mwanza,maswa,bariadi nk
Tsh ngapi? Reja!! Reja!!Anae hitaji wallet OG za ngozi aje huku zipo kwa bei poa kabisa jumla na reja rejaView attachment 1491599View attachment 1491600