Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

nitumie picha nikutafutie kwa wadau
Asante madam ni aina hii
e088241726a2140b625da510ee3115a4_350x350.jpeg
82c76e2080b220a63ae151aa6793c811_350x350.jpeg
 
Mwenye connection na biashara ya mafuta ya alizeti (ambayo hayaja chakachuliwa ) toka Dodoma , mi nipo Iringa mjini kwasasa . kama ataweza kutuma madumu ya mafuta toka Dodoma mbaka Iringa basi itakuwa poa zaidi .
Nafahamu mtu anaefanya biashara hiyo Morogoro, kama utaona inakufaa nakutumia namba zake muelewane(anapatikana kihonda viwandani), mafuta yake ni uhakika, sifahamu bei zake lakini.
 
Mwenye connection na biashara ya mafuta ya alizeti (ambayo hayaja chakachuliwa ) toka Dodoma , mi nipo Iringa mjini kwasasa . kama ataweza kutuma madumu ya mafuta toka Dodoma mbaka Iringa basi itakuwa poa zaidi .
Check PM

God save us
 
Tunauza TEA MASALA kwa bei nafuu pia tunauza Tangawizi (Ginger powder) pamoja na Unga wa parachichi (Avocado power). Tea masala na tangawizi kopo moja la gram 100 kwa Tsh.3500, avocado powder gram 100 kwa Tsh. 5000. Bidhaa ni nzuri kupita maelezo. Offer zipo pia, karibuni sana.
Tunapatikana Morogoro, mikoani pia tunatuma.
Namba zetu ni 0657747722 na 0753158200.
20200628_123827.jpeg

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Wadau !

Nahitaj pumba za mahindi na mashudu kwa bei ya jumla Singida mjini. Nipeni offa zenu kwa Singida Mjini
 
Back
Top Bottom