Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara


Natafuta mtu wa kunikutanisha na mh Makonda(mkuu wa mkoa wa Dar)
 



Ofisi inapangishwa ipo oyster bay opposite na Dar Free Market, Ina partitions mbili kubwa, choo kimoja ndani, Luku independent, Maji na parking pia ipo. Kodi ni 370,000 kwa mwezi maongezi yapo, hakuna udalali wala service charge nicheki dm tuyapange
 
Kuna mwenye connection ya silver inayotoka zambia hapa mbeya.

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Nimeanza kufanya biashara ya ukusanyaji wa chupa+ plasticna mifuko na kuzirudisha kiwandan, mwenye kujua changamoto za biashara hii tujuzane.

Nanumua kutoka dampo la lisasa dodoma then chupa nauza hapa hapa dom ila mifuko napeleka Dar.

Ikiwa mkoa ulipo upatikanaji wa malighafi ni mkubwa tujuzane pia.
 
Moshi chupa ni mkubwa unapata hata mifuko kama ni ya safleti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…