Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nguo za watoto unauzaje?

Ziko kwa bei tofauti tofauti nimeweka kwenye comments hapo baadhi ya nguo kwe bei za Jumla, na ukiwa na pia naweza kukupa choices zaidi ya hizo maana nimeweka baadhi
For business enquiry nicheki

+255 686 942 315
 
NJOO TUFANYE KAZI
Nahitaji mtu naejua kuandika makala nzuri kwajili ya video za mtandaoni,kama unaweza naomba uje PM.

VIGEZO
Uwezo mkubwa wa kuandika makala kwa kutafuta information sahihi na za ndani sana kuhusu matukio yaliyowahi kutokea duniani mfano vita ya kwanza ya dunia n.k au vitu vinavyoshangaza duniani mfano masanamu makubwa,majengo ya kushangaza na vitu mbalimbali vyenye historia ya kushangaza ikiwemo historia za watu waliofanya matukio konki.

NB:wazee wa "dizaini kama au ama nene" hawahitajiki.
@Habibu B. Anga
 
Sawa

Magauni:View attachment 1500748
Bei: 45,000

View attachment 1500749
Rangi😛ink, Yellow, na Green
Bei:40,000

View attachment 1500752
View attachment 1500753
17,500

View attachment 1500754
30,000

Simple:
View attachment 1500755

View attachment 1500756
View attachment 1500757
8,000


Mikoba:View attachment 1500758
View attachment 1500760


Perfumes:
View attachment 1500762
View attachment 1500763
View attachment 1500765
Mils 50
Za kike na kiume
Aina mbalimbali: Al Oud, Al Wisal,Paris Hilton,Sabaia, Invictus, Lexzus, Roman, Anawel Shock, 212 Men,CK1, Lacoste White, Jasmine, Cobra,Escada, Givenchy....... na nyingine
Bei jumla 12,500 (50 Mils)
Rejareja: 20,000 (50 Mils)

+255 686 942 315
Hapo sawa mzee ,,, mtu akipenda bidhaa anakuja darect
 
naomba connection ya mfanyabiashara wa mahindi anayepelekaga nje ya nchi. Mimi ni mfanyabiashara mdogo na nitakua namkusanyia mahindi kutoka vijijini ndani ndani huko na kumuuzia kwa bei nafuu....

Nipo singida na mahindi yapo mengi sana kwa bei nafuu
Kaka nahitaji mahindi ya kutengezea chakula cha kuku ,ukipata ujumbe wangu naomba unishtuee!
 
Back
Top Bottom