Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Nguo za watoto unauzaje?

Ziko kwa bei tofauti tofauti nimeweka kwenye comments hapo baadhi ya nguo kwe bei za Jumla, na ukiwa na pia naweza kukupa choices zaidi ya hizo maana nimeweka baadhi
For business enquiry nicheki

+255 686 942 315
 
@Habibu B. Anga
 
Hapo sawa mzee ,,, mtu akipenda bidhaa anakuja darect
 
Kaka nahitaji mahindi ya kutengezea chakula cha kuku ,ukipata ujumbe wangu naomba unishtuee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…