Humu kuna utapeli mwingi sana
Natafuta mtu wa kuniuzia STRAWABERRY karibu.
kivipi? mbona sikuelewi ..wewe ni mfanya biashara?Embu nijuze kivipi?
kivipi? mbona sikuelewi ..wewe ni mfanya biashara?
unazifahamu strawberry..
nimetaka mtu wa kuniuzia matunda hayo
kama unayo sema bei unauzaje na kwa kiasi gani ..nataka kuchkua kuanzia kilo moja na kuendelea.
kivipi? mbona sikuelewi ..wewe ni mfanya biashara?
unazifahamu strawberry..
nimetaka mtu wa kuniuzia matunda hayo
kama unayo sema bei unauzaje na kwa kiasi gani ..nataka kuchkua kuanzia kilo moja na kuendelea.
Unapatikana wapi??? Mimi kuku ninaoMimi mwenyewe natafuta kuku. Ila sio mbaya nikipata nitakushitua
Umetapeliwa??? Mtaje aliyekutapeli asije akatapeli na wengineHumu kuna utapeli mwingi sana
nimekosa aise my friend !Ukikosa niambie nikupe mtu wa shambn kbs;ila sio hizo kilo unazosema
umefunga PMUkikosa niambie nikupe mtu wa shambn kbs;ila sio hizo kilo unazosema
Ntakutumia namba niliisave sehemu..wewe si ushawahi kuja pm boss tumia Ile Ile usifungue nyingineumefunga PM
poa nasubiria.Ntakutumia namba niliisave sehemu..wewe si ushawahi kuja pm boss tumia Ile Ile usifungue nyingine
Unataka kununua karanga boss?Konekshen ya uuzaji au kilimo cha karanga na mpunga kati ya tabora na morogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninapenda nipewe connection ya biashara ya mazao ya chakula baada ya muda muafaka nije niyauze.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukipata ni tagNatafuta wazalishaji wa pembejeo za kilimo like mbolea tuwasiliane nahitaji niwe wakala wao Mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Balaa gani hlo mkuu....ziandike apa huenda tukashawishika.ni hivo hivo mkuuu. Hizi earphones zina balaa lake
Naomba npate connection na ya biashara ya viatu na urembo kwa mtu alyeko dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka connection ya eneo au viatu?Nina eneo karume sina mtaji ukipata naomba uniunganishie mkuu tupate wote