Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

kivipi? mbona sikuelewi ..wewe ni mfanya biashara?

unazifahamu strawberry..

nimetaka mtu wa kuniuzia matunda hayo

kama unayo sema bei unauzaje na kwa kiasi gani ..nataka kuchkua kuanzia kilo moja na kuendelea.

Kukuuzia yani ununue ok, nilikuwa sijakuelewa, nilidhani umemanisha kukuuzia yani ww ndo unayo. Nayajua ila naonaga watu wanayauza mitandaoni kama instagram
 
Natafuta soko la Mayai ya kienyeji

Ni kienyeji halisi sio kisasa wala Chotara
Tunaweza kusambaza zaidi ya Tray 30 kwa week

Bei ni Tsh 400 kwa yai na Tsh 12,000 kwa Tray pia yanafaa kutotolesha.

Gharama za usafirishaji tutazungumza.

Mawasiliano: 0652 027120
IMG_20200817_171307_150.jpeg
IMG_20200817_171420_097.jpeg
IMG_20200817_171645_104.jpeg
 
habri wakuu, nilikuwa naulizia anayejua kwa sasa mbaazi zinapatikana wapi kwa wingi na bei yake ikoje?
 
Mwenye duka la viatu Kariakoo, mimi nachukua mzigo nauzia kwenye meza yangu tunagawana faida au tuelewane jinsi ya kulipana.
 
Back
Top Bottom