Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kuna sehemu hapa Ubungo Maji karibu na kanisa la Gwajima, huwa naona wameweka, jaribu ucheki huenda zinauzwa, ama watakusaidia kujua zinakouzwa. Ila hujasema unaulizia uko wapi?
Asante kwa info ngoja niwacheki jamaa japo wanakuaga wagumu kukupa machimbo yao maana nimeshajaribu baadhi ya sehemu nikakwama . Nipo Dar
 
natafuta connection ya uandishi wa makala za mitandaoni ama za hard copy, mada yoyote, au kuandikia website za masuala mbalimbali, 0718829826. kwa kizungu naita Content Writing.
Language?

SEO?

Niches?
 
Hello, habari !
Ninapenda kupata connection na mtu anayefahamu vema mnada Wa mifugo ulipo kati ya wilaya ya Bunda na butiama (sina uhakika exactly uko wilaya ipi kati ya hizo wilaya mbili).
But Kama kuna mtu anauwenyeji na mnada huo naomba tuzungumzee kuna jambo zuri twaweza lifanya.

Shukrani!!
 
Anayehitaji Soya au Mbaazi anicheki 0687535650
 
Wewe nenda kaongee vizuri na hao wauzaji ili uweze kujua wao wanatoaga wapi
Hizo zinauzwa ghali 45k - 50k Mimi nahitaji toka viwandani ambapo bei ni 20k -25k. Hizi huwa zinaletea malighafi hasa kemikali kwa baadhi ya viwanda ila sijajua hasa ni viwanda gani.
 
Mwenye uelewa wa biashara ya bekary nataka kuanza kuzalisha mikate.
Nataka kujua wapi napata vitendea kazi na mtaalamu wa kunishauli kwenye production .
Kuhusu marketing mwenyewe niko vizuri
 
Karibuni sana jamani, bado sapoti yenu. Inahitajika sana.
 
Karibuni sana jamani, bado sapoti yenu. Inahitajika sana.
Unaweza kuzipeleka hizi toilets kwenye masoko chief,,unaomba eneo kwenye uongozi wa soko. Masoko mengi makubwa hayana vyoo vya kutosha,hata stendi pia kama mbezi, ubungo.
 
Habari wakuu,

Nahitaji connection ya kuijua vizuri biashara ya madini ya wachimbaji wadogowadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…